Picha ya kwanza, Balozi wa
Canada nchini Tanzania, Alexandre Lévêque, akimkabidhi Mkurugenzi Mtendaji
wa Chama cha Wanahabari Wanawake Tanzania (TAMWA), Valerie Msoka, tuzo ya
kwanza ya kampeni ya kupinga ndoa za utotoni. Picha ya pili ni zawadi ya maua
kutoka kwa wafanyakazi wa TAMWA ambayo ilikabidhiwa na Vicotoria Rowan. Picha
nyingine ni washiriki katika sherehe zilizofanyika Februari 24, 2015 katika
hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam. picha na https://hivisasa.co.tz
No comments:
Post a Comment