Friday 29 August 2014

Mkutano wa Halmashauri ya Wilaya na Asasi Zisizo za Kiserikali Mafia

 Mkurugenzi wa Wilaya ya Mafia akifungua mkutano
 Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii akizungumza wakati wa mkutano
 Mratibu wa Mradi wa WWF Mafia, Paul Kugopya akitoa mada wakati wa mkutano
 Mratibu wa Pamoja Tuwalee, Mariam Hamdani akitoa mada wakati wa mkutano
 Washiriki wakifuatilia mada wakati wa mkutano
Sekretarieti ikichukua kumbukumbu wakati wa mkutano uliofanyika leo - 29/08/2014

Thursday 28 August 2014

East West, Home is Best

 
 Sehemu ya mazingira mazuri yaliyotunzwa ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Askofu Sebastian Kolowa - Lushoto Tanga
 Miti ya asili kama hii inatoweka kwa kasi siyo tu wilayani Lushoto, lakini hata katika maeneo mengine ya Tanzania. Miti hii ni muhimu katia kutunza mazingira yetu

 Misitu ya asili kama hii iliyopo wilayani Lushoto ni chanzo kikuu cha maisha ya wengi kwani hutunza vyanzo vya maji na baioanuwai nyingine

 Kilimo cha viazi mviringo na vitunguu katika tarafa ya Mlalo wilayani Lushoto hutoa ajira kwa vijana wengi wa vijijini
 Mradi mkubwa wa maji ya bomba unaoendelea kutekelezwa katika tarafa ya Mlalo wilayani Lushoto ni ndoto inayotimia baada ya serikali kuwa na ndoto kama hiyo tangu kupata uhuru mwaka 1961

Hakuna haja ya kupanda Kilimanjaro. Mdau akipanda milima ya kwetu wakati wa safari ya kusalimia jamaa na marafiki