Monday, 23 October 2017
Matokeo ya Darasa la Saba 2017 Yatangazwa
Wiki iliyopita, tarehe 20/10/2017 serikali ya Jamhuri wa Muungano Tanzania ilitangaza matokeo ya darasa la saba kwa mwaka 2017. Tazama matokeo hayo HAPA
Wednesday, 20 September 2017
Donald Trump's speech to UN General Assembly
Mr Secretary-General, Mr President, world leaders and
distinguished delegates, welcome to New York. It is a profound honour to stand
here in my home city, as a representative of the American people, to address
the people of the world.
As millions of our citizens continue to suffer the
effects of the devastating hurricanes that have struck our country, I want to
begin by expressing my appreciation to every leader in this room who has
offered assistance and aid. Read more
Friday, 21 July 2017
Tanzanian Form Six Examination Results
Examinations result for advanced Certificate of secondary school education (ACSE) have been announced. To see the results click Here
Monday, 6 March 2017
Arusha Stakeholders for 2015 General Elections Urge Media to Cover More Women Politicians
Arusha Stakeholders of 2015
General Elections have urged media to increase their reporting of women
aspirants/candidates in the future elections. The stakeholders attending
workshop to disseminate media analysis report of 2015 General Elections produced by TAMWA
under the support of UN Women said that most media outlets failed to report
enough stories on women aspirants/candidates
because they were more business oriented, hence their coverage focused
on what would sale most.
The stakeholders also pointed out
that some journalists demanded financial payment and other forms of favour from
some of women aspirants/candidates to get their stories reported something
which most women aspirants/candidates were not willing to give. In another
observation they said that most women aspirants/candidates did not get enough
media coverage because they lacked enough media engagement skills.
Group photo of Arusha workshop participants
They suggested that to address the challenges of women aspirants/candidates less media coverage in the future, trainings should be conducted to Tanzania Editors Forums (TEF), Tanzania Press Clubs’ representatives from each region (both male and female), Tanzania Communication Regulatory Authority, media owners and Media Council of Tanzania to support women aspirants/candidates in the future elections. They also suggested continuing with joint seminars/dialogues between the media and politicians to create platforms for networking and building better relations.
The workshop
held on 23rd December 2016 which brought 28 participants (17 female,
11 male) was attended by journalists, editors, bloggers, former candidates and
elected leaders.
Tuesday, 31 January 2017
WANAFUNZI 10 WALIOFANYA VIZURI KIDATO CHA NNE 2016 HAWA HAPA
Je unataka kujua wanafunzi 10 waliofanya vizuri zaidi katika mitihani ya kidato cha nne 2016? Ili kuwajua wanafunzi hao wanatoka shule gani, shule ziko mikoa gani na majina yao ni akina nani, BONYEZA HAPA.
TAZAMA SHULE 10 BORA NA 10 ZA MWISHO MATOKEO KIDATO CHA NNE 2016
Shule 10 bora na 10 za mwisho katika matokeo ya kidato cha nne 2016 zimetajwa na Baraza la Mitihani la Taifa. Ili kuziona shule hizo BONYEZA HAPA
Matokeo ya Kidato cha Nne Haya hapa
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2016. Ili kuyaona matokeo hayo BONYEZA HAPA
Tuesday, 17 January 2017
Shule ya Msingi ya Serikali ya Kijijini Inayong'ara katika Mitihani ya Kitaifa
Wiki hii serikali ya Tanzania ilitangaza matokeo ya mitihani ya kupima wanafunzi wa kidato cha pili na darasa la nne kwa mwaka 2016. Mengi yamezungumzwa katika mitihani hiyo, hasa habari ya shule za binafsi kung'ara katika matokeo hayo na shule za serikali kushika mkia.
Lakini kuna jambo la kipekee katika matokeo hayo. Jambo hili linahusu shule ya msingi Majulai, ambayo pamoja na kuwepo kijijini sana wilayani Lushoto mkoani Tanga katika tarafa ya Mlalo, kata ya Mwangoi, shule hiyo imekuwa ikifanya vizuri sana katika mitihani mbalimbali ya shule za msingi.
Pamoja na kuwepo katika mazingira ya kijijini, shule hiyo imeonekana kushindana na shule nyingi zilizoko mazingira ya mjini ambako kuna walimu wa kutosha na vifaa vingi vya kufundishia. Mfano, katika mtihani wa darasa la nne mwaka 2016 shule hiyo imeshika nafasi ya pili (2) katika wilaya ya Lushoto kati ya shule 129 na kushika nafasi ya 4 katika mkoa wa Tanga kati ya shule 601. Shule hiyo ya serikali ya kawaida kabisa kama zilivyo shule nyingine za serikali imeshika nafasi ya 43 kitaifa kati ya shule 11,025, nafasi ambayo haijaweza kufikiwa hata na shule nyingi za binafsi ambazo wazazi hulipia pesa nyingi sana kuhakikisha watoto wao wanapata elimu nzuri.
Je, kuna kitu gani katika shule hii ambacho kinaweza kutoa funzo kwa shule nyingi hasa zile za serikali ambazo zimeendelea kubaki nyuma katika matokeo?. Kuna haja ya kujifunza kutoka shule hiyo.
TAZAMA MATOKEO YA SHULE YA MAJULAI HAPA.

Matokeo ya Kidato cha Pili Yatangazwa
Serikali ya Tanzania kupitia Baraza la Mitihani ya Taifa imetangaza matokeo ya upimaji wa wanafunzi wa kidato cha pili 2016. Ili kuyaona matokeo hayo BONYEZA HAPA.
Monday, 16 January 2017
Matokeo darasa la nne 2016 haya hapa
Serikali ya Tanzania imetangaza matokeo ya kupima wanafunzi wa darasa la nne kwa mwaka 2016. Bovya hapa kuyaona matokeo hayo.
Subscribe to:
Posts (Atom)