Sehemu ya mazingira mazuri yaliyotunzwa ya Chuo Kikuu cha Kumbukumbu ya Askofu Sebastian Kolowa - Lushoto Tanga
Miti ya asili kama hii inatoweka kwa kasi siyo tu wilayani Lushoto, lakini hata katika maeneo mengine ya Tanzania. Miti hii ni muhimu katia kutunza mazingira yetu
Misitu ya asili kama hii iliyopo wilayani Lushoto ni chanzo kikuu cha maisha ya wengi kwani hutunza vyanzo vya maji na baioanuwai nyingine
Kilimo cha viazi mviringo na vitunguu katika tarafa ya Mlalo wilayani Lushoto hutoa ajira kwa vijana wengi wa vijijini
Mradi mkubwa wa maji ya bomba unaoendelea kutekelezwa katika tarafa ya Mlalo wilayani Lushoto ni ndoto inayotimia baada ya serikali kuwa na ndoto kama hiyo tangu kupata uhuru mwaka 1961
Hakuna haja ya kupanda Kilimanjaro. Mdau akipanda milima ya kwetu wakati wa safari ya kusalimia jamaa na marafiki
No comments:
Post a Comment