BARAZA LA MITIHANI LA TAIFA JANA, JULAI 15, 2016 LILITANGAZA MATOKEO YA KIDATO CHA SITA.
BOVYA HAPA KUYAONA
Saturday, 16 July 2016
Friday, 1 July 2016
MKUTANO WA BUNGE LA KUMI NA MOJA WAAHIRISHWA
Mkutano wa 3 wa Bunge la kumi na moja la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania uliahirishwa Juni 30, 2016. Akizungumza katika hitimisho hilo, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alizitaka Halmashauri zote nchini kutumia mashine za elektroniki katika kukusanya mapato katika mwaka wa fedha unaoanza Julai mosi 2016.
TANZANIA YAPATA WAKUU WAPYA WA WILAYA
Juni 26, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli aliteua wakuu wa wilaya watakaosaidia katika kulisukuma gurudumu la maendeleo katika uongozi wa awamu ya tano. BONYA HAPA kupata majina ya wakuu wa wilaya.
Subscribe to:
Posts (Atom)