Thursday, 11 August 2016
MATOKEO YA DARASA LA NNE na SABA 2015
Kwa mara ya kwanza, serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetoa matokeo ya darasa la nne na kuonekana waziwazi kwenye tovuti. Mzazi au mlezi akitaka jina la mtoto wake analipata kwa urahisi zaidi. Hii ni hatua bora kabisa katika upashanaji wa habari, hasa habari muhimu kwa wananchi unaofanywa na serikali yetu. Hii inaondoa pia udanganyifu ambao wazazi wasiokuwa na elimu wamekuwa wakiupata kwa watoto wao kuwadanganya matokeo. Pia matokeo ya darasa la SABA yalitangazwa kwa mtindo uleule pamoja na kwamba siyo mara ya kwanza kufanya hivyo. Naipongeza Wizara ya Elimu kwa kutambua umuhimu wa mtandao katika kuwasiliana na wananchi
HAYA NDIYO MATOKEO YA DARASA LA NNE 2015. BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO YA DARASA LA NNE. NA BONYEZA HAPA KUONA MATOKEO YA DARASA LA SABA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment